Pick a plan and create your account to enjoy one month of free service! Love it? Head over to Settings (section 0️⃣.0️⃣) to start your subscription.
Not convinced? No problem! The next time you log in, your account will be reset to our free-forever Basic Tier.
🆔
One Account, Many Ways to Log In:
You'll see different login options (for Personal, Healthcare-Workers, etc.), but don't worry—you only need one account! No matter which link you use, the app will recognize you and take you to the right place.
Your single account can be configured for any role or subscription right inside the app.
Chagua huduma, uunde akaunti yako na upate huduma bure kwa mwezi mmoja. Ukikongwa nyoyo, basi tembelea Mipangilio (sehemu 0️⃣.0️⃣) kuanza kulipia usajili wako.
Hauna uhakika? Hakuna tatizo! Utapoingia tena, akaunti yako itarejeshwa kwenye MyHealthNote Msingi ambayo ni bure milele.
🆔
Akaunti Moja, Njia Nyingi za Kuingia:
Utaona njia tofauti za kuingia (kwa Mtu Binafsi, Wafanyakazi wa Afya, n.k), lakini usijali—unahitaji akaunti moja tu! Haijalishi utatumia mlango gani, programu itakutambua na kukupeleka kwenye akaunti unayostahili.
Unaweza kubadilisha akaunti yako kwa jukumu lolote (Mtu Binafsi, Wafanyakazi wa Afya, n.k) au aina ya huduma (MyHealthNote Msingi, Pili n.k) ndani ya programu yenyewe.
1️⃣🔓
For Anyone (Platform #1)
*MyHealthNote Personal
𖠋
MyHealthNote Basic
*For Anyone
Free Forever
Personal Health Profile
Vital Signs Tracking
Health Status Updates
Auto HPI Generator
Basic Trend Analysis
𖠋👩🏻🏭𖠋👩🔬𖠋
MyHealthNote Pro
*For Anyone
$1/month
All basic features
Earn & spend nilnil tokens
Health Support Communities
Connect with healthcare professionals
AI role in Human health
👩🏻🏭𖠋📑𖠋👩🔬
MyHealthNote ProLine
*For Anyone
$2/month
All Pro Features
Review and securely share HPI (Health Profile Insight) reports
Verified Sicknotes Generation
Case-reports Generation
Medical Research Contribution
🔵
𖠋
MyHealthNote Basic
Patient file Or Health file? Myhealthnote is the later.
Why MyHealthNote? - Most healthcare systems focus on tracking illness. MyHealthNote lets you track all aspects of your health (wellness, custom statuses, and illness) in one secure, user-controlled platform.
MyHealthNote: A Personal Health Management App - MyHealthNote is a personal health app that keeps all your health records in one place, managed by you. It includes data on your health status, illnesses, treatments, and more. When you're sick, it helps generate a history of presenting illness (HPI) so you don't forget important details during doctor visits. If you're healthy, it celebrates your wellness by tracking your health progress.
MyHealthNote: An Integrated Platform for Health Services - MyHealthNote is an integrated platform featuring over 100 specialized applications, each designed to perform distinct tasks while seamlessly complementing each other. To enhance user experience and simplify navigation, we've categorized the services into progressive levels, ranging from 0.0 to 1.0 and beyond. These levels reflect an increasing amount of data management and expertise required. For example, while anyone can benefit from the foundational services at 0.0 to 0.9, advanced features from 1.0 and above are tailored for healthcare professionals and researchers. This structure ensures that users can easily scale their usage based on their needs and expertise.
Creating a Pro-Health Society: Recommendations for Younger Users - To create a pro-health society where everyone can effectively communicate about their health, Dr. Joel Swai, our chief researcher, recommends that individuals up to 16 years of age should be able to easily navigate and use services from levels 0.0 to 0.5. These levels allow users to manage vital health information, track their vital signs (e.g., blood pressure, temperature), monitor their health status, and communicate their health clearly to healthcare professionals. This approach ensures that younger users can access essential health tools, improve communication with healthcare providers, and ultimately contribute to a healthier future for all.
0.1: Basic health information (age, gender, allergies, medications)
0.2: Vital sign measurements (blood pressure, body temperature)
0.3: Health status (healthy, custom, or unwell)
0.4: Vital sign charts and trends (e.g., blood glucose over the past three months)
0.5: History of presenting illness (HPI), which summarizes your health records for easy reference when you're unwell.
By capturing your full health journey, you gain deeper insights, save time during medical visits, and celebrate progress—all while staying in charge of your data.
Faili ya mgonjwa au Faili ya Afya? Myhealthnote ni Faili ya Afya.
Kwa nini MyHealthNote? - Mifumo mingi ya afya inalenga kufuatilia magonjwa, kiasi kwamba mwenye faili kubwa zaidi ni aitha anaumwa sana au ameumwa muda mrefu. Faili hili linamilikiwa na Hospitali. MyHealthNote inakuruhusu kufuatia pande zote za afya yako (ukiwa wa afya, ukiwa na hali ya kawaida au ukiwa mgonjwa) katika mfumo salama unaomilikiwa na kudhibitiwa na mtumiaji. Hivyo mwenye faili kubwa zaidi la MyHealthNote ina maana ni mtu mwenye mwamko na afya yake na siyo lazima awe mgonjwa. MyHealthNote ni zaidi ya faili ya mgonjwa.
MyHealthNote: Programu ya Usimamizi wa Afya Binafsi - Kujielezea hali yako kwa mhudumu wa afya kunaweza kukawa kugumu kwa wengine kwa sababu mbalimbali - labda anahofia kutangaziwa ugonjwa, anahofia gharama za matibabu, na kadhalika. Kwa kawaida, mgonjwa au ndugu hueleza hali ya mgonjwa kwa mhudumu wa afya, kisha mhudumu wa afya huandika HPI (History of Presenting Illness). HPI ni zana kubwa ya kuamua mwelekeo wa matibabu yako. Ikiwa ulishindwa kujielezea, au ulisahau kutaja vitu vya msingi, kwa sababu yoyote ile, inaweza kuathiri mwelekeo wa matibabu yako. MyHealthNote inakusaidia kuingiza taarifa za dalili za ugonjwa mara tu zinapojitokeza, kuhakikisha kumbukumbu yako kuhusu dalili hizo ni imara. Wakati wa kumtembelea mhudumu wa afya, MyHealthNote hukusaidia kutengeneza HPI. Hii itaongeza ufanisi wa kuwaona wagonjwa kwa asilimia 36%. Kwa upande mwingine, ikiwa unayo afya njema, MyHealthNote inakusherehekea kwa kukupatia ripoti ya maendeleo ya afya yako bora, mfano: kiwango chako cha sukari kwenye damu kimeboreka, kulinganisha na wiki iliopita. Hivyo, MyHealthNote siyo kwa wagonjwa tu bali kwa mtu yeyote mwenye mwamko wa kufuatilia afya yake binafsi.
MyHealthNote: Jukwaa la Mjumuisho wa Huduma Zote za Afya - MyHealthNote ni jukwaa linalojumuisha programu zaidi ya 115, kila moja imeundwa kufanya kazi tofauti-tofauti huku zikisaidiana kwa harambee. Ili kuboresha huduma kwa mtumiaji na kurahisisha utumiaji wa programu, tumegawa aina za huduma katika namba au viwango, kuanzia 0.0 (sifuri) hadi 10.0 (kumi). Viwango hivi vinaonyesha ongezeko la data, usimamizi wa taarifa za afya na ujuzi/elimu inayohitajika. Mtu yeyote anaweza kufaidika na huduma kuanzia 0.0 hadi 0.9. (i) 0.0-0.5 ni MyHealthNote Msingi; (ii) MyHealthNote Msingi jumlisha kipengele jumlisha vipengele 0.6, 0.7 na 0.8 ni MyHealthNote Pili; (iii) MyHealthNote Pili jumlisha kipengele 0.9 ni MyHealthNote Tatu; na (iv) MyHealthNote Tatu jumlisha all language options ni MyHealthNote Luga. Vipengele kuanzia 1.0 na zaidi vimeundwa kwa ajili ya wataalamu wa afya na watafiti. Muundo huu unahakikisha kwamba watumiaji wanaweza kuchagua/kuongeza matumizi yao kulingana na mahitaji yao, ujuzi wao wa kiteknolojia au elimu kwa ujumla.
Kuunda Jamii Yenye Mwamko wa Afya: Mapendekezo kwa Watoto na Vijana - Watu wanaofuatilia viashiria muhimu vya afya zao (k.m. shinikizo la damu, joto la mwili, nk.), huelewa kirahisi maelezo wanayopewa na wataalamu wataalamu wa afya kuliko wale wasiofuatilia. Lakini pia, kiwango cha huduma ya afya unayopokea, inategemea na namna gani unajielezea hali yako kwa mtaalamu wa afya. Lengo la awali kabisa la MyHealthNote ni kuunda jamii yenye mwamko wa afya ambapo kila mtu anaweza kuwasilisha kwa ufanisi ripoti ya afya yake mwenyewe. Dk. Joel Swai, mtafiti mkuu wetu, anapendekeza kwamba watoto/vijana hadi umri wa miaka 16 waweze kuvinjari na kutumia huduma za viwango 0.0 hadi 0.5 (MyHealthNote Msingi) bila kukwama. MyHealthNote Msingi inahakikisha kwamba wanajamii wanaelewa afya zao, wanaweza kuwasilisha historia ya afya zao au ugonjwa kwa ufanisi kwa watoa huduma za afya, kuwarahisishia kazi wahudumu wetu wa afya (ambao tunao uhaba wa wataalamu hawa tayari) na hatimaye kuchangia mustakabali wa afya bora kwa wote.
0.1: Maelezo ya Msingi ya Afya (umri, jinsia, mzio, dawa)
0.2: Vipimo vya Viashiria Muhimu vya Afya (mf. shinikizo la damu, joto la mwili, idadi ya mapigo ya moyo)
0.3: Hali Mubashara ya Afya Kila Siku (mwenye afya, kawaida, au mgonjwa). Ingiza taarifa za dalili za magonjwa pindi tu zinapojitokeza, na MyHealthNote itakumbuka kwa ajili yako pale unapokwenda kumwona mhudumu wa afya.
0.4: Kagua Chati, Mwelekwo na Mwenendo wa Viashiria Muhimu vya Afya (mf. sukari ya damu kwa miaka mitatu iliyopita)
0.5: Historia ya Ugonjwa (HPI), kwa marejeo rahisi wakati umeugua. Kwa kubonyeza kitufe, MyHealthNote itaongea historia kwa ajili yako, kwa lugha yoyote.
Kwa kukusanya safari yako yote ya afya, unapata ufahamu wa kina, kuokoa wakati wakati wa ziara za matibabu, kuelewa kirahisi maelezo unayopewa na wahudumu wa afya, na kusherekea maendeleo yako - huku ukiendelea kudhibiti taarifa zako mwenyewe.
🔵🟢🟡⚫🟣
𖠋👩🏻🏭𖠋👩🔬𖠋
MyHealthNote Pro
0.6A: A Nilnil token is a reward for promoting healthy habits on MyHealthNote. Earn tokens by learning vital signs in VitalsGamify, acing health quizzes, or helping others. Spend them to spread positivity—like prescribing personalized good news. The more you engage, the more you empower yourself and others.
0.6B: This system allows you to use your health data (such as diagnoses, measurements, and vital signs) to connect with others who share similar health conditions or attributes. For instance, if you've logged vital signs like blood pressure, heart rate, etc., you can search for others with comparable readings, and optionally filter by additional factors such as age and height. Similarly, if you have a condition like diabetes or cancer, you can find others with the same diagnosis and join a "Buddort" group (a support forum) moderated by a professional researcher, called a Fodir (Forum Director). The Fodir ensures that accurate information is shared and helps clarify any myths within the forum.
0.7: A communication center where you can chat with healthcare workers, Fodirs, and AI about your health. You can save useful information to your library and take quizzes to test your memory and retain what you've learned.
0.8: A "sick treat center" that provides games, treatments, and activities to keep you entertained and uplifted when you're feeling unwell.
🤖
The Role of AI in MyHealthNote & Healthcare
AI and MyHealthNote: Current Status - While MyHealthNote currently integrates AI into less than 6% of its codebase, the platform continues to perform effectively. However, the potential for AI to further improve healthcare is an exciting opportunity moving forward.
AI’s Transformative Features in Healthcare - Based on Dr. Joel Swai's experience, AI brings three key transformative features that could revolutionize the healthcare landscape:
Adaptive Learning: AI’s ability to learn from and improve with any dataset it is trained on.
Speed: Rapid processing and the capability to recognize patterns quickly.
Evolution: AI continuously improves as more data is fed into the system, refining its performance over time.
The Ethical Implications of AI - While these features are ethically neutral, their application can either uplift or harm humanity. Dr. Swai’s 2024 systematic review uncovered troubling practices where companies mislabel their services as “AI-powered,” using the technology for profit-driven harm. A particularly concerning example is how some health insurers deploy AI to systematically deny patient claims, prioritizing cost-cutting over patient care. This unethical use of AI weaponizes technology against human well-being.
Introducing Epistatearch AI: A Health-Focused Solution - Launching in June 2025, Epistatearch AI is designed to address the limitations of general-purpose AI models by focusing specifically on healthcare needs. Unlike mainstream AI systems, Epistatearch AI is:
Exclusively Health-Focused: Trained on rigorously vetted medical data from trusted global sources to ensure relevance and accuracy in healthcare applications.
Transparent and User-Centric: Users are clearly informed about how their data is used in AI-powered services, with transparency about AI's role. Additionally, users have the option to opt-out of AI input entirely if preferred.
Ethically Grounded: Built with a focus on human health outcomes, prioritizing long-term well-being and ethical considerations in every aspect of its design.
Human-Guided: Ensures AI supports, rather than replaces, clinician expertise and patient needs, reinforcing the importance of human oversight in healthcare decision-making.
Redefining Technology's Role in Healthcare - By aligning AI’s capabilities with the core values of medicine—compassion, prevention, and equity—we aim to reshape how technology serves humanity, ensuring that it works for the betterment of patient care and well-being.
0.6A: Tokeni ya Nilnil ni tuzo kwa wale wenye mwamko wa kuelewa afya zao. Vuna tokeni kwa: (1) kujifunza viashiria muhimu vya afya (kupitia mchezo wa VitalsGamify), (2) kufaulu mitihani ya maswali kuhusu afya yako, au (3) kusaidia wengine. Unaweza kutumia tokeni za Nilnil kununua bidhaa kwenye soko letu (nilnil market), au kutengeneza ujumbe mzuri kuhusu afya ya wengine - kwa mfano rafiki yako ameugua malaria, programu inaweza kutafuta habari chanya kutoka kwenye rekodi ya rafiki yako kama vile "leo, wadudu wamepungua kwenye damu" (ukweli unaotia moyo zaidi kuliko kumwambia kwa ujumla "utapona tu, usijali"). Kumbuka: mtumaji anatumia tokeni zake ila haoni ujumbe huu (ni mpokeaji pekee). Hivyo, kila unapojaza taarifa za afya yako kwenya faili yako kila siku unajitengenezea nafasi ya programu kupata habari njema kwa ajili yako wakati ujao.
0.6B: Mfumo huu unakuwezesha kutumia taarifa yako kama vile ugonjwa uliogunduliwa nao, vipimo, na viashiria vya afya na kadhalika, kuungana na wenye hali kama yako. Kwa mfano, ukirekodi shinikizo la damu au mapigo ya moyo, unaweza kutafuta watu wenye matokeo sawa an wewe. Au umegunduliwa na kisukari, unaweza kutafuta mwenzako mwenye Kisukari kwa kufanana taarifa nyingine pia kama umri, na jinsia; kisha mkajiunga na kikundi cha Diabetes "Buddort" (cohORT of BUDDies) kinachoongozwa na mtafiti wa Kisukari (Fodir) anayethibitisha usahihi wa majadiliano kwenye jukwaa hili la kubonga.
0.7: Hiki ni kituo cha mawasiliano. Unaweza kupata taarifa kuhusu afya yako kama vile kukukumbusha kumeza dawa, tarehe za kumwona daktari na kadhalika. Pia ni kituo cha kubonga na wahudumu wa afya, Fodir, na AI kuhusu afya yako. Waweza pia kuhifadhi habari muhimu kwenye maktaba yako na kufanya mitihani kuhusu taarifa ulizozihifadhi awali, ili kuhakikisha kumbukumbu ya taarifa za msingi kuhusu afya yako zinabaki kuwa imara.
0.8: "Jukwaa hili linatoa michezo mbalimbali na shughuli za kufurahisha ili kukufariji na kukuchangamsha wakati ukiugua.
🤖
Jukumu la AI kwenye MyHealthNote na Afya
Hali ya sasa: Chini ya 6% ya huduma za MyHealthNote ni AI. Kwa miaka mitatu, kampuni mama kwa MyHealthNote, Epistatearch, imekuwa ikijikita kutafiti mbinu na njia za kutumia AI kuboresha huduma za afya na matibabu.
Kulingana na Dk. Joel Swai, AI Inaleta Mezani Uwezo wa Aina Tatu Tunaoweza Kutumia Kwenye Afya:
Kujifunza Chochote: Uwezo wa kujifunza kulingana na "data yoyote" iliyokumika kuifundishia.
Kasi Ya Kujifunza: Uwezo wa kujifunza data, kutengeneza ripoti, na kutoa mchanganuo wa ripoti "kwa kasi ya ajabu".
Uzoefu Zaidi Pale Inapotumika Zaidi: "Kadri inapotumika zaidi, inaendelea kujifunza zaidi", na kuongeza uwezo wake zaidi katika kutengeneza ripoti, na kutoa mchanganuo wa ripoti.
Maadili ya AI: Uwezo huu unaweza kutumika kwa wema au ubaya. Utafiti wa 2024 uligundua baadhi ya kampuni za bima za afya zinatumia AI kutengeneza sababu za kukataa kulipa madai ya wagonjwa kwa lengo la kuongeza mapato—kitendo kisicho cha kimaadili.
Epistatearch AI (Juni 2025):
AI maalumu kwa Ajili ya Afya: Hapa, Epistatearch tumetengezeza AI Iliyofundishwa kwa data za afya ya binadamu pekeake. Data hizi zimethibitishwa na kuchapishwa.
Uwazi: Watumiaji wanaelezwa jinsi gani data zao zinatumika na AI, na wanaweza kukataa AI kutumia data zao.
Maadili: Inazingatia maadili ya utu, kwa kuboresha afya na siyo kuumiza wanadamu.
Msaada kwa Watumishi wa Afya: Inasaidia—sio kuchukua nafasi ya—maamuzi ya watumishi wa Afya.
Kusimamia Teknolojia: Kwa kutumia AI kwa usahihi, tutahakikisha teknolojia inatumika kwa ustawi wa binadamu na siyo vinginevyo.
🔵🟢🟡⚫⚫🟣🟣
👩🏻🏭𖠋📑𖠋👩🔬
MyHealthNote ProLine
0.9A: Review all HPI reports you previously generated and shared with healthcare workers. Securely share with others as needed.
0.9B: Generate sick notes and other health record documents. This includes signed summaries from your healthcare providers regarding the visits you've made. You can create sick notes for absences, backed by signed documentation from your healthcare providers.
0.9C: You can initiate the creation of a case report based on your data, and your healthcare provider and Fodir will assist in publishing the report while keeping your identity confidential. Case reports are essential for generating hypotheses that can lead to significant medical breakthroughs, allowing you to contribute to major advancements in healthcare by sharing your case report.
🔵🟢🟡⚫⚫🟣🟣
👩🏻🏭𖠋📑𖠋👩🔬
MyHealthNote ProLine
0.9A: Kagua ripoti zote za HPI ulizotengeneza awali na kuzituma kwa wafanyikazi wa afya au watumiaji wengine kama vile ndugu na marafiki.
0.9B: Tengeneza barua au vibali vya ugonjwa na nyaraka zingine za kumbukumbu za afya. Hii inajumuisha muhtasari uliosainiwa na wahudumu wa afya kuhusu ziara ulizofanya. Unaweza kuunda vibali vya ugonjwa kwa ajili kushindwa kuhudhuria kazi au shule, vikiwa na uthibitisho wa saini kutoka kwa wahudumu wa afya.
0.9C: Unaweza kuanzisha uundaji wa ripoti ya afya kulingana na data zako, na mtoa huduma yako wa afya na Fodir wataisaidia kuchapisha ripoti hiyo huku jina lako likihifadhiwa. Ripoti hizi ni muhimu kwa kutengeneza vyanzo vya tafiti vinavyoweza kusababisha ugunduzi na uvumbuzi wa magonjwa mapya au matibabu bora, na hivyo kukuruhusu kuchangia maendeleo makubwa ya afya.
This system is designed for healthcare workers. By default, they automatically have access to myhealthnote proLine for their personal health, as well as services to manage the health of others.
From 1.0 to 1.9: Professional Clinical Practice - The system includes information about professional clinical practice, such as practicing licenses, qualifications, experience, and setting up a clinic at the jurisdiction of their practice.
From 2.0 to 2.9: Real-Time Patient Monitoring - The system focuses on patient management. It allows healthcare workers to:
Accept patient consultation requests
Register patients at their clinic
Monitor patient health and vital signs in real-time
Mfumo huu umeundwa kwa ajili ya wahudumu wa afya. Wahudumu wa afya wote wanapata huduma za MyHealthNote Tatu kama ziada kwenye mfumo wao tofauti wa kusimamia afya za wengine.
1.0 hadi 1.9: Uhakiki wa Wahudumu wa Afya - Inahakiki usajili na leseni za wahudumu wa afya, pamoja na taarifa nyingine za utaalamu wao kama vile elimu, uzoefu, mahali wanapopatikana na kadhalika.
2.0 hadi 2.9: Ufuatiliaji Mubashara wa Wagonjwa - Mfumo unalenga usimamizi wa wagonjwa. Wafanyikazi wa afya wanaweza:
Kupokea maombi ya wagonjwa wapya
Kusajili wagonjwa wapya
Kufuatilia mubashara viashiria vya afya za wagonjwa - popote walipo
Ushauri (sio shuruti) wa AI katika kuona wagonjwa
Kudhibiti rekodi za afya dhidi ya udukuzi
Kurahisisha rufaa za wagonjwa
Na zaidi
🟣
Myhealthnote Research
From 3.0 - 3.9: Tackling Misinformation in Healthcare - This system is designed for researchers (Fodirs). It enables researchers to register and manage a group of participants in a health-improvement initiative called "Buddort" within their area of expertise. Researchers can share their findings directly with the Buddort community, helping to protect them from misinformation.
Vocabularies
Buddort(s): A Buddort is a cohort of buddies (i.e., friends) focused on health improvement, such as a workout Buddort or a hypertension Buddort. The concept behind a Buddort is that health improvement is a common goal for both groups: those who are sick aim to get better, while those who are healthy strive to maintain and enhance their well-being. In both cases, the direction is the same—improving health. Whether through recovery or maintenance, the focus is always on advancing one's health.
Buddortte(s): A member of a Buddort. Think of it as "a buddy", or "a friend".
Buddort Fodir: A professional researcher responsible for moderating and fact-checking the information shared in Buddort forums, ensuring accuracy and reliability. (Fodir = Forum Director)
3.0 - 3.9: Kupambana na Taarifa za Uongo kuhusu Afya Mtandaoni - Mfumo huu umeundwa kwa ajili ya watafiti (Fodirs). Unawawezesha watafiti kusajili na kusimamia kikundi cha washiriki kiitwacho "Buddort" katika mpango wa kuboresha afya katika eneo lao la utaalamu. Watafiti wanaweza kutuma matokeo ya tafiti zao moja kwa moja kwenya jamii ya Buddort, na kuwalinda washiriki dhidi ya taarifa za uwongo mitandaoni.
Misamiati
Buddort: Kikundi cha marafiki wanaolenga kuboresha afya pamoja, kama vile Buddort ya mazoezi au Buddort ya shinikizo la damu. Wazo nyuma ya Buddort ni kwamba kuboresha afya ni lengo la pamoja: wagonjwa wanataka kupona, wakati wenye afya njema wanataka kudumisha na kuboresha hali yao. Katika hali zote, mwelekeo ni mmoja - kuboresha afya. Hivyo, waliopo kwenye Buddort ya Diabetes sio lazima wawe wameugua Diabetes. (Buddort = cohort of buddies)
Buddortte: Mwanachama wa Buddort. Chukulia kama vile "rafiki" au "mshiriki" wa buddort.
Buddort Fodir: Mtafiti mwenye utaalam anayesimamia na kuthibitisha ukweli wa taarifa zinazoshirikiwa katika mijadala ya Buddort, kuhakikisha usahihi na uaminifu. (Fodir = Forum Director)
*Independent NGO Oversight: Epistatearch provides ethical governance separate from for-profit operations
For Public Health Authorities - Utilize anonymized population data (with consent) for evidence-based public health planning and policy development. Monitor community trends and coordinate targeted health interventions effectively.
Powered by Epistatearch - Access our research platform dedicated to locally-relevant data and empowering regional health expertise for meaningful community impact.
Kwa Mamlaka za Afya ya Umma - Tumia data ya watu isiyo na majina (kwa idhini) kwa upangaji wa afya ya umma na ukuzaji wa sera kulingana na ushahidi. Fuatilia mienendo ya jamii na uratibu hatua za afya zilizolengwa kwa ufanisi.
Inaendeshwa na Epistatearch - Pata jukwaa letu la utafiti linalolenga data inayohusika na eneo na kuwawezesha wataalamu wa afya wa kikanda kwa athari yenye maana katika jamii.
For Global Health Organizations - Tackle the world's most pressing health challenges by developing sustainable health systems and addressing global health disparities. Collaborate with international alliances to unify efforts and build resilience against pandemics and climate health risks.
Humanity's Health Initiative - Safeguard vulnerable populations and ensure long-term survival by mitigating existential threats and global crises. Create a healthier, more equitable future through coordinated international health strategies.
Kwa Mashirika ya Afya ya Kimataifa - Shughulikia changamoto muhimu zaidi za afya ulimwenguni kwa kukuza mifumo endelevu ya afya na kushughulikia tofauti za afya kimataifa. Shirikiana na muungano wa kimataifa kuunganisha juhudi na kujenga uthabiti dhidi ya janga la magonjwa na hatari za afya za hali ya hewa.
Inishiativu ya Afya ya Ubinadamu - Linda watu wanaoathirika na uhakikisha maisha ya muda mrefu kwa kupunguza vitisho vya kuwepo na migogoro ya kimataifa. Unda mustakabali wenye afya na usawa zaidi kupitia mikakati ya kimataifa iliyoorganishwa ya afya.
Personal Health Gadgets - Innovative devices like Buddort Watch for vital signs, Buddort Miles for body measurements, and smart scales that sync seamlessly with your MyHealthNote App for automated health tracking.
Industrial Medical Equipment - Advanced diagnostic and treatment equipment including X-ray machines, ultrasound systems, CT scanners, and laboratory instruments for healthcare facilities.
Custom Software Solutions - Tailored digital healthcare systems designed to meet specific institutional needs, ensuring the perfect fit rather than one-size-fits-all solutions.
Vifaa vya Afya vya Kibinafsi - Vifaa vipya kama saa ya Buddort kwa ishara muhimu, Buddort Miles kwa vipimo vya mwili, na mizani mahiri inayounganishwa kwa urahisi na Programu yako ya MyHealthNote kwa ufuatiliaji wa afya wa kiotomatiki.
Vifaa vya Matibabu vya Viwanda - Vifaa vya kisasa vya utambuzi na matibabu vinavyojumuisha mashine za X-ray, mifumo ya ultrasound, vipima CT, na vyombo vya maabara kwa ajili ya vituo vya afya.
Suluhisho za Programu Maalum - Mifumo maalum ya afya ya kidijitali iliyoundwa kukidhi mahitaji maalum ya taasisi, kuhakikisha umiliki kamili badala ya suluhisho za kiwango kimoja.
*Epistatearch oversees medical ethics and clinically validates products